Ujana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
 
==Takwimu==
Vijana karibu wote [[duniani]] wanaishi katika [[nchi zinazoendelea]]: kadiri ya [[UM]], kwa sasa ni 85% wa watu wenye umri kati ya miaka [[15]] na [[24]], lakini watafikia 89.5% mwaka [[2025]].
 
==uwajibikaji wa vijana==
Kila kijana anawajibu wa kufanya kazi kwa bidii ili maendeleo ya nchi yaweze kwenda sawa, kwani kwa kufanya kazi tunaweza kuepuka zaidi mmomonyoko wa maadili ulio kithiri kwa vijna hasa kuiga mambo ya kigeni yasio na manufaa kwao na kwa tifa kwa ujumla.
 
==Marejeo==