Mapacha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Marian and Vivian Brown.jpg|thumb|Marian na Vivian Brown, [[dada]] pacha wanaofanana.]]
'''Mapacha''' au '''ndugu pacha''' ni [[watu]] au [[wanyama]] waliozaliwa kwa pamoja kutoka [[Tumbo|tumboni]] mwa [[mama]] yao<ref name=MedicineNet>[http://www.medterms.com/script/main/art.asp?articlekey=11428 MedicineNet > Definition of Twin] Last Editorial Review: 19 June 2000</ref>. Kwa binadamu mara nyingi huwa wawili.
 
Kuna aina kuu [[mbili]] za mapacha ambao ni wale wanaofanana na wale wasiofanana. Tofauti ni kwamba wa kwanza wametokana na [[kijiyai]] kimoja kilichofikiwa na [[mbegu]] moja, kumbe wa pili wametokana na vijiyai viwili vilivyofikiwa na mbegu mbili. Hivyo wa kwanza wana [[jinsia]] ileile na kwa kawaida kabisa [[DNA]] ileile, kumbe wa pili DNA zao ni tofauti, ila zinafanana kiasi kama zile za [[ndugu]] wote wenye [[baba]] mmoja na [[mama]] mmoja<ref>Michael R. Cummings "Human Heredity Principles and issues" p. 104.</ref>.
Kuna aina kuu [[mbili]] za mapacha ambao ni wale wanaofanana na wale wasiofanana.
 
Kimataifa aina ya kwanza inatokea mara 3 katika [[ujauzito]] wa [[wanawake]] 1,000<ref name=wonderquest>{{cite web|url=http://www.wonderquest.com/TwinsTrigger.htm |title=What triggers twinning? |author=April Holladay |date=2001-05-09 |publisher=WonderQuest |accessdate=2007-03-22}}</ref>.
 
{{mbegu-biolojia}}