Mfumo radidia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Kati ya radidi [[saba]] radidi na. 1 ina elementi [[mbili]] tu yaani [[hidrojeni]] na [[heli]]. Radidi na. 2 na radidi na. 3 zote zina elementi 8, kuna pia radidi kubwa zaidi.
 
Makundi yaonekana katika nguzo za kusimama. Kuna makundi 18. Elementi ndani ya kundi moja zina idadi sawa za [[mojaelektroni za nje]] zinayaani kwenye mzingo elektroni wa nje. Kwa hiyo [[tabia]] zinazofananazao zinafanana kikemia. Kwa mfano, kundi la 18 launganisha [[gesi]] zisizoathiri elementi nyingine kama vile [[heli]], [[xenoni]] na [[arigoni]].
 
Mfumo radidia ilianzishwa na [[wanakemia]] wawili mnamo mwaka [[1869]], ingawa [[Mrusi]] [[Dimitri Mendeleev]] ([[1834]]-[[1907]]) na [[Mjerumani]] [[Julius Lothar Meyer]] ([[19 Agosti]] [[1830]] - [[11 Aprili]] [[1895]]) walifanya [[kazi]] kila mmoja peke yake.