Tofauti kati ya marekesbisho "Sokwe (Hominidae)"

193 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
Masahihisho
(Masahihisho)
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = [[Ngagi]]
| domeni = [[Eukaryota]] <small>(Viumbe walio na seli zenye kiini)</small>
| himaya = [[mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
| ngeli = [[Mamalia]] <small>(Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)</small>
| oda = [[Primates]] <small>(Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)</small>
| nusuoda = [[Haplorrhini]] <small>(Wanyama wanaofanana zaidi na [[kima]])</small>
| oda_ya_chini = [[Simiiformes]] <small>(Wanyama kama kima)</small>
| oda_ndogo = [[Catarrhini]] <small>(Kima wa Dunia ya Kale)</small>
| familia_ya_juu = [[Hominoidea]] <small>([[Sokwe (Hominoidea)|Masokwe]])</small>
| familia = [[Hominidae]] <small>([[Sokwe (Hominidae)|Masokwe wakubwa]])</small>
| subdivision = '''[[Jenasi]] 4:'''
* ''[[OrangutanuPongo]] (''Pongo'') <small>[[Bernard Germain Étienne de la Ville, Comte de Lacépède|Lacépède]], 1799</small><br />
* ''[[NgagiGorilla]] (''Gorilla'') <small>[[Isidore Geoffroy Saint-Hilaire|I. Geoffroy]], 1852</small><br />
* ''[[Sokwe mtuPan]] (''Pan'') <small>[[Lorenz Oken|Oken]], 1816</small><br />
* ''[[Homo]] (Binadamu na jamaa)'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small>
}}
'''Sokwe mkubwa''' au '''sokwe''' peke yake ni jina la [[binadamu]] na [[nyani]] wakubwa wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Hominidae]] wanaofanana sana na binadamu. Tofauti na nyani wengine ni kuwepo kwa mkia; karibu nyani wote huwa na mkia lakini masokwe wakubwa hawana kabisa. Binadamu (''Homo'') anahesabiwa pia kama [[jenasi]] yenye spishi moja katika familia hii.
 
== Eneo na uenezaji ==
Masokwe wanaishi katika maeneo ya [[tropiki]] ya [[Afrika]] ([[sokwe mtu|masokwe mtu]] na [[ngagi]]) na [[Asia]] ([[orangutanu]]). Wote ni wakazi wa [[msitu|misitu]] ila tu masokwe mtu wanaingiawanaoingia pia kwenye nchi[[mbuga]] yaau manyasi[[savana]].
 
== [[UainishajiMwainisho]] ==
* ''Ponginae'' ([[w:Ponginae|Ponginae]])
** [[Orangutanu]], ''Pongo abelii''
*** [[Orangutanu wa Sumatra]], ''Pongo abelii'' ([[w:Sumatran Orangutan|Sumatran Orangutan]])
*** [[Orangutanu wa Borneo]], ''Pongo pygmaeus'' ([[w:Bornean Orangutan|Bornean Orangutan]])
* ''Homininae'' ([[w:Homininae|Homininae]])
** ''[[Ngagi|Gorillini]]''
*** [[Ngagi]], ''Gorilla''
***** [[Ngagi wa Nijeria]], ''Gorilla g. diehli'' ([[w:Cross River Gorilla|Cross River Gorilla]]: Nijeria na Kameruni)
***** [[Ngagi wa Uwanda wa Chini Magharibi]], ''Gorilla g. gorilla'' ([[w:Western Lowland Gorilla|Western Lowland Gorilla]]: Kameruni, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Gaboni, Ginekweta, Kongo, Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo na [[Angola]])
** ''Hominini'' ([[w:Hominini|Hominini]])
*** [[Sokwe Mtu]], ''Pan''
**** [[Bonobo|Bonobo au Sokwe Mtu Mdogo]], ''Pan paniscus'' ([[w:Bonobo|Bonobo]] au Pygmy Chimpanzee: [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]])
10,427

edits