Maji ya matunda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Orange juice 1.jpg|thumb|upright|[[Bilauri]] ya sharubati ya machungwa.]]
'''Maji ya matunda''' (pia: '''Sharubati''' au '''juisi''' kwa [[neno]] la [[mkopo]] kutoka [[Kiingereza]] "juice"; au: '''Sharubati''' kwa neno lenye asili ya [[Kiarabu]]) ni [[kinywaji]] kinachotokana na [[matunda]] ya [[mimea]] na kinachotengenezwa kwa kushinikizakusindika tu matunda ya aina moja au mchanganyiko wa matunda mengi.
 
Kuna aina nyingi sana za sharubati, sawa na wingi wa matunda yanayolika. Hasa matunda yenye majimaji mengi ndani yake yanafaa kwa kuyatengeneza.