Njombe (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
}}
 
'''Njombe''' ni [[mjimanisipaa]] mwenye halmashauri na hivyo hadhi ya [[wilaya]] katika [[Mkoa wa Njombe]] nchini [[Tanzania]]. Ni pia [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Njombe]] na [[Wilaya ya Njombe Vijijini]].
 
Njombe iko kwenye kimo cha mita 2000 [[juu ya UB]] kweny ekwenye sehemu ya masahrikimashariki ya milima ya Kipengere na tabianchi ni baridi kiasi<ref name="Tanzania travel guide">{{cite book|title=Tanzania travel guide|date=June 2015|publisher=Lonely Planet|page=271|edition=6|isbn=978-1742207797|accessdate=12 January 2016}}</ref>. Mji iko takriban kilomita 200 kusini mwa [[Iringa]] na kilomita 150 upande wa kaskazini-mashariki mwa [[Mbeya]].
 
Hadi mwaka 2012 kata za mji wa Njombe zilikuwa sehemu ya [[Wilaya ya Njombe]] ya awali; baadaye Njombe Mjini na [[Wilaya ya Njombe Vijijini]] zilitengwa kuwa halmashauri mbili za pekee. Kabla ya kugawiwa eneo la Njombe ilikuwa sehemu ya [[Mkoa wa Iringa]].
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya hii ya Njombe Mjini ilikuwa na wakazi wapatao 130,223 waishio humo. <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Njombe Region – Njombe Town-Council]</ref>