Nishati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
I added a contents
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Lightning over Oradea Romania 2.jpg|thumb|right|258px|[[RadiUmeme]] wa [[radi]] ni uvunjiko wa nguvu za kiumeme katika [[hewa]] unaotokana na uwindi umeme mkali (kutoka nishati uweza kiumeme na kuwa nishati ya kimakanika ya mwendo hovyoovyo wa kimolekyuli (kusuguana nakufanyana Ngurumokufanya ngurumo, [[Jotojoto]], na [[Mwangamwanga]]).]]
'''Nishati''' inamaanisha uwezo wa kufanya [[kazi]] na kusababisha mabadiliko. Katika [[sayansi]] nishati hupimwa kwa [[kipimo cha SI]] [[joule]].
 
Katika sayansi lina mtazamo wa pekee. Ni aina ya kani/nguvu/uwezo ambapo kazi ikifanyika k.m. kusogeza kitu, basisbasi tunasema nishati imetumika.
Katika sayansi lina mtizamo wa kipekee.
 
==Aina za nishati:==
[[Picha:Lightning over Oradea Romania 2.jpg|thumb|right|258px|[[Radi]] ni uvunjiko wa nguvu za kiumeme katika hewa unaotokana na uwindi umeme mkali(kutoka nishati uweza kiumeme na kuwa nishati ya kimakanika ya mwendo hovyo wa kimolekyuli(kusuguana nakufanya Ngurumo,[[Joto]], na [[Mwanga]]).]]
Aina hizi hutegemea matumizi na mabadiliko yake;km k.m. kuna;:
Nishati:
7*1. Nishati ya sumakujua
Ni aina ya kani/nguvu/uwezo ambapo kazi ikifanyika k.m kusogeza kitu basis tunasema nishati imetumika
5*2. Nishati ya kikemikalimwanga
Aina za nishati:
6*3. Nishati ya kimakanikajoto
Aina hizi hutegemea matumizi na mabadiliko yake;km kuna;
1*4. Nishati ya juaumeme
2*5. Nishati ya mwangakikemikali
3*6. Nishati ya jotokimakanika
4*7. Nishati ya umemesumaku
*n.k.
5.Nishati ya kikemikali
6.Nishati ya kimakanika
7.Nishati ya sumaku
….............................
…….............
 
== Aina Za Nishati ==
Hutokana na asili au chanzo chake. Zifuatazo ni Baadhi yake:-
 
HutokanaAina za nishati hutokana na asili au chanzo chake. Zifuatazo ni Baadhibaadhi yake:-
* [[Makanika]]
* [[Joto ya Jua]]
Line 31 ⟶ 26:
 
== Makundi ya Nishati ==
Nishati kuwekwahuwekwa katika makundi kulingana na matumizi ya [[mwanadamu]] na ukubwa wa uhitaji wake katika sura ya kijamii, halafu pia na aina ya matumizi.
 
== Nadharia Juujuu Yaya Nishatinishati ==
[[Fizikia]] hueleza nishati na tabia zake kimaumbile na msababisho kimatukio. Nayo hutaja kama nadharia; kufafanua mienendo.
 
=== Ufafanuzi ===
Ni nguvu iwezeshayo kazi kufanyika.
 
Kazi, kifizikia;, ni kitendo kinachohusisha mabadilishano ya namna moja ya nishati hadi nyingine, ama pia kubadili hali ya kimaumbile na nafasi. Kwa mfano, kusogeza [[kiti]] ni kazi inayojidhihirisha kwa kuhamisha kiti toka nuktasehemu moja hadi nyingine.
 
Kizio cha kazi ni ''Juli''.
Line 45 ⟶ 40:
Tathmini ya kihesabu ya kazi kulingana na nishati kifizikia hukokotolewa kwa thamani ya ''Juli'' na kadhaa.
 
==Hali kuu mbili==
 
'''Hali Kuu Mbili'''
 
 
Hujidhihirisha katika sura mbili na kutathminiwa hivi:
 
Line 54 ⟶ 46:
* Nishati Mwendeko
 
== Aina Za =Nishati Uweza===
 
'''Nishati Uweza'''
 
Hii ni hali ya kiutathmini uwezo wa nishati kufanya kazi ama kuleta zao fulani la kikazi katika wakati ambao tukio halisi halijatendeka. K.m. jiwe juu ya kigingi cha mlima kabla halijadondoka lina tathmini ya uwezo wa nguvukazi sawa na mara litakapofika chini wakati wa kudondoka.
 
'''===Nishati Mwendeko'''===
Hii ni hali ya kiutathminikutathmini uwezo wa nishati kufanya kazi endelevu kiwakati. K.m. Jiwe lililorushwa lina nguvukazi alhali likipea.
 
=== Kanuni ya Uhifadhi Sawia Wawa Nishati ===
'''Nishati Mwendeko'''
Hii ni kanuni inayoelezea mbadilishano wa nishati kutoka hali moja hata nyingine; nayo inasema: ''Nishati haiwezi kujengwa wala kubomolewa bali hubadilika kutoka hali moja hadi nyingine.''
 
Hii ni hali ya kiutathmini uwezo wa nishati kufanya kazi endelevu kiwakati. K.m. Jiwe lililorushwa lina nguvukazi alhali likipea.
 
 
=== Kanuni ya Uhifadhi Sawia Wa Nishati ===
Hii ni kanuni inayo elezea mbadilishano wa nishati kutoka hali moja hata nyingine; nayo inasema:
 
''Nishati haiwezi kujengwa wala kubomolewa bali hubadilika kutoka hali moja hadi nyingine.''
 
Hii ni kusema kuwa, kiasi cha nishati kitumikacho kufanya kazi huwa sawa sawa na kiasi cha kazi kiutathmini. Hivyo kama kitendo kinaweza kurudishwa kilikotekea, kiasi kile kile cha nishati itapatikana.
Line 74 ⟶ 59:
Vile vile nishati inaposababisha tukio ambalo nishati za aina nyingine kutukia, basi kiasi cha tathmini yake ni sawa sawa na nishati iliyosababisha.
 
'''===Mifumo perepetua ya kimakanika'''===
 
Mfano wa kanuni hii unaonekana kwenye bembea kama ile kwenye saa ya ukutani ya kimakanika. Jiwe la kuning'inia linapofika usawa wa juu kabisa; huwa na nishati uweza ya juu kabisa. Halafu Nishati Mwenendo huwa ni sifuri pale linapokuwa limesimama kabla ya kubembea na kurudi chini. Katika hali ya wima kabisa, nishati uweza huwa ni sifuri na wakati nishati mwenendo huwa juu kabisa. Na hivyo kufanya mabadilishano ya Nishati Uweza na Nishati Mwenendo vinavyohusiana katika mifumo ya kazi za kimakanika.
 
'''===Changamoto ya Nadharia ya Uhifadhi Sawia wa Nishati'''===
 
Kanuni hii katika nyanja ya kifizikia imefika njia panda baada ya mifumo mpya wa uzalishaji nishati kugunduliwa.
 
* [[Nishati Nukta Sifuri]]
 
{{mbegu-fizikia}}
 
[[Jamii:Fizikia]]