Paulo Hanh : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Paulo Hanh''' (kwa [[Kivietnam]]: Phaolô Hạnh; [[Chợ Quán]], [[Vietnam]], [[1826]] hivi - [[Saigon]], Vietnam, [[28 Mei]] [[1859]] ni mmojawapo kati ya [[Wakristo]] [[wafiadini wa Vietnam]]. [[kifodini|waliouawa]] kwa ajili ya [[imani]] yao huko [[Vietnam]] katika [[karne ya 17]], [[Karne ya 18|18]] na [[karne ya 19|19]] ([[1625]]–[[1886]]).
 
Wanatajwa pia kama [[Watakatifu]] [[Andrea Dung-Lac|Andrea Dũng-Lạc]] na wenzake 116.
Mstari 5:
Kwa nyakati tofauti, [[Papa Leo XIII]], [[Papa Pius X]] na [[Papa Pius XII]] waliwatangaza kuwa [[wenye heri]], halafu [[Papa Yohane Paulo II]] aliwaunganisha katika kuwafanya [[watakatifu]] [[wafiadini]] tarehe [[19 Juni]] [[1988]].
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe [[24 Novemba]]. Paulo Hahn anadhimishwaanaadhimishwa pia tarehe [[28 Mei]], ambapo ndipo alipouawa akiwa [[mlei]].
 
==Tazama pia==
{{Lango|*[[Watakatifu}} wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
Line 26 ⟶ 27:
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1826]]
[[Jamii:Waliofariki 1859]]
[[Category:Wafiadini Wakristo]]
[[Category:Watakatifu wa Vietnam]]