Inchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Inchi''' (kutoka [[Kiingereza]] ''inch'') ni [[kipimo]] cha [[urefu]] wa [[sentimita]] 2.54. Inatumika pamoja na [[futi]] na [[maili]]. Si kipimo sanifu cha kimataifa [[SI]] bali ni [[kizio]] cha [[vipimo vya Uingereza]].
 
[[Asili]] yake ni [[upana]] wa [[kidole gumba]] cha [[mtu]]. Kwa hiyo inchi inalingana takriban na [[wanda]] kati ya [[vipimo asilia vya [[UswahiliniKiswahili]] ambayo ni pia kipimo cha upana wa kidole ingawa haikusanifishwa.
 
* inchi 1 = [[millimita]] 25.4