Futi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 6:
Neno "futi" latumiwa pia kutaja [[chenezo]] au [[rula]] (chombo cha kupima urefu wa kitu).
 
Kipimo cha futi kiliingia katika Kiswahili tangu [[ukoloni]] wa [[Uingereza]]. Kimechukua nafasi ya [[vipimo asilia vya [[Kiswahili]] kama [[shubiri (kipimo)|shubiri]] (takriban 25 [[cm]]) na [[ziraa]] (takriban 50 [[cm]]).
 
Kihistoria urefu wa futi ilikuwa tofauti kati nchi na nchi. Leo hii inatumiwa zaidi [[Marekani]] lakini pia kwa uzoefu katika nchi zinazotumia sana lugha ya [[Kiingereza]] hata kama rasmi zimeshakubali vipimo sanifu vya kimataifa [[SI]].