Maandishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 17:
Maandishi penye [[mawe]] magumu tena penye [[hali ya hewa]] [[yabisi]] hukaa miaka [[elfu]] kadhaa. Kwa njia hiyo tuna ushuhuda wa maandishi ya mapema hasa kutoka nchi kama [[Mesopotamia]], [[Misri]], [[Bara Hindi]] na [[China]]. Lakini hatuwezi kukana uwezekano wa maandishi yaliyotumia mata kama [[magome]] ya [[miti]] yanayooza haraka hasa katika [[mazingira]] yenye [[mvua]] nyingi.
 
Watu waliandika juu ya miamba, [[matofalimabapa ya mwandiko wa kikabari]], [[bao]] za [[nta]], [[kitambaa]], ubaoni au [[mabati]] ya [[metali]] mbalimbali. [[Mainka]] wa [[Peru]] walitumia mwandiko wa mafundo kwenye [[kamba]].
 
Kati ya mata zote za kutunza maandishi ni hasa [[karatasi]] inayotumiwa zaidi leo. Ilibuniwa China ilipojulikana mnamo mwaka [[100]] [[BK]] na kusambaa polepole [[Bara|barani]] [[Asia]] halafu [[Ulaya]].