Utenzi wa Gilgamesh : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 71 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8272 (translate me) |
|||
Mstari 4:
== Mapokeo ya utenzi wa Gilgamesh ==
Utenzi huu haujulikani kwa sehemu zake zote. Ulisahauliwa na kugunduliwa upya katika karne ya 19 wakati ambako [[wanaakiolojia]] walianza kusoma [[mwandiko wa kikabari]] uliosahauliwa kwa milenia. Toleo lililohifadhiwa vema ni
Wataalamu hufikiri ya kwamba hadithi mbalimbali juu ya mfalme Gilgamesh zilisimuliwa na kuandikwa tangu muda mrefu hadi zilikusanywa katika utenzi mmoja kabla ya karne ya 7 KK.
|