Tofauti kati ya marekesbisho "Sumeri"

40 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ka}} (2) using AWB (10903))
Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye [[rutuba]] kati ya mito [[Frati]] na [[Hidekeli]] tangu mwaka [[3500 KK]]. [[Elimu]] ya [[akiolojia]] iliweza kuthibitisha ya kwamba Wasumeri walijenga miji na kuendeleza [[maandishi]].
 
Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kutumia [[mwandiko wa kikabari]] kwenye [[bamba za mwandiko wa kikabari]] yaani vibao vya [[udongo]] mbichi wa [[ufinyanzi]] na kuvichoma.
 
Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu kwa [[kalenda]] za leo kwa kugawa [[siku]] katika [[saa]] 24 na [[saa]] katika [[dakika]] 60.