Ratili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 59 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q100995 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Ratili''' ''(pia: '''ratli''' - kutoka [[kiar.]]'' رطل ''ratl)'' ni kipimo cha masi cha kihistoria cha takriban nusu [[kilogramu]] au 400-500 g.
 
Ni kati ya [[vipimo asilia vya Kiswahili]] si [[SI|kipimo sanifu cha kisasa]].
 
Inalingana na "pauni" (pound) ya Ulaya.
 
Ratili ilipokelewa kutoka vipimo vya Kiarabu "ratl" ikatumiwa vile katika sehemu nyingi za chi za Kiislamu. Lakini uzani wa ratl ilikuwa tofauti kati ya nchi, majimbo na miji, kuanzia gramu 340 hadi zaidi ya kilogramu 2. Ratili ya Uswahilini ililingana zaidi na ratl jinsi ilivyotumiwa Uarabuni katika eneo la Makka iliyokuwa kidogo juu ya gramu 400.<ref>Makala "Makayil" katika The Encyclopedia of Islam, Leiden 1991, Vol VI, MAHK—MID</ref>
 
== Marejeo ==