Ratili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ratili''' ''(pia: '''ratli''' - kutoka [[kiar.Kiarabu]]'' رطل, ''ratl)'' ni [[kipimo]] cha masikihistoria cha kihistoria[[masi]] cha takriban [[nusu]] [[kilogramu]] au [[gramu]] 400-500 g.
 
Ni kati ya [[vipimo asilia vya Kiswahili]], si [[SI|kipimo sanifu cha kisasa]].
 
Inalingana takriban na "[[pauni]]" (pound) ya [[Ulaya]].
 
Ratili ilipokelewailipokewa kutoka vipimo vya [[Kiarabu]]: "ratl" iliyotumiwa kwa [[jina]] hili katika sehemu nyingi za nchi za [[Kiislamu]]. Lakini [[uzani]] wa ratl ilikuwaulikuwa tofauti kati ya nchi, [[Jimbo|majimbo]] na [[miji]], kuanzia gramu 340 hadi zaidi ya kilogramu 2. Ratili ya Uswahilini ililingana zaidi na ratl jinsi ilivyotumiwa [[Uarabuni]] katika eneo la [[Makka]] iliyokuwa kidogo juu ya gramu 400.<ref>Makala "Makayil" katika The Encyclopedia of Islam, Leiden 1991, Vol VI, MAHK—MID</ref>
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
== Marejeo ==