Tofauti kati ya marekesbisho "Mtume Barnaba"

296 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
Katika kitabu hicho cha [[Agano Jipya]] ([[Biblia ya Kikristo]]) tunapata [[habari]] kuwa [[uongofu|aliongokea]] mapema [[Ukristo]], akauza [[shamba]] lake na kuwakabidhi [[Mitume wa Yesu]] mapato yake ili wawasaidie [[maskini]]. Labda kwa sababu hiyo Mitume walimuita [[Barnaba]] (Mdo 4:36-37).
 
Kisha kuheshimiwa hivyo katika [[Kanisa]] la awali huko [[Yerusalemu]], alimtambulisha na kumdhamini [[Mtume Paulo]] muda mfupi baada ya huyo kuongoka huko [[Damasko]] (Mdo 9:2626Katika kitabu hicho cha [[Agano Jipya]] ([[Biblia ya Kikristo]]) tunapata [[habari]] kuwa [[uongofu|aliongokea]] mapema [[Ukristo]], akauza [[shamba]] lake na kuwakabidhi [[Mitume wa Yesu]] mapato yake ili wawasaidie [[maskini]]. Labda kwa sababu hiyo Mitume walimuita [[Barnaba]] (Mdo 4:36-2837).
-28).
 
Watu wa mataifa walipoanza kuingizwa moja kwa moja katika Ukristo [[Mji|mjini]] [[Antiokia]], alitumwa huko kwa [[niaba]] ya Kanisa mama, akawa [[kiongozi]] mkuu wa jumuia hiyo mpya (Mdo 11:19-30; 13:1).