Johannes Fibiger : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:29, 22 Mei 2006

Johannes Fibiger (23 Aprili 1867 – 30 Januari 1928) alikuwa daktari na mwanapatholojia kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza ugonjwa wa kansa. Mwaka wa 1926 alikuwa mshindi wa ‘’’Tuzo ya Nobel ya Tiba’’’.