Benedikto Mwafrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
 
Tangu utotoni alijitokeza kwa hamu ya kukaa [[upwekeni]] na kufanya [[malipizi]] hata wakaanza kumuita ''mtakatifu'', ingawa wenzake walimdhulumu kwa hilo.
Katika kitabu hicho cha [[Agano Jipya]] ([[Biblia ya Kikristo]]) tunapata [[habari]] kuwa [[uongofu|aliongokea]] mapema [[Ukristo]], akauza [[shamba]] lake na kuwakabidhi [[Mitume wa Yesu]] mapato yake ili wawasaidie [[maskini]]. Labda kwa sababu hiyo Mitume walimuita [[Barnaba]] (Mdo 4:36-37).
 
Alipofikia umri wa miaka 18 aliacha [[familia]] yake akaanza kujitegemea na kusaidia mafukara.