Tofauti kati ya marekesbisho "Kindi (mnyama)"

245 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
Masahihisho na picha mpya
(Masahihisho na picha mpya)
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Kindi-jua kijivu (''Heliosciurus gambianus'')
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Chordate|Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| ngeli = [[Mamalia]] (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
| oda = [[Rodentia]] (Wagugunaji)
| nusuoda = [[Sciuromorpha]] (Wanyama kama [[kindi]])
| familia = [[Sciuridae]] (Wanyama walio na mnasaba na kindi)
| bingwa_wa_familia = [[Jeanette Muirhead|Muirhead]], 1819
| subdivision = '''Nusufamilia 5:

* [[Callosciurinae]]

* [[Ratufinae]]

* [[Sciurinae]]

* [[Sciurillinae]]

* [[Xerinae]]

'''Kindi''' ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Sciuridae]]. Spishi nyingine huitwa [[kidiri]] au [[kuchakulo]]. Wanatokea [[Amerika]], [[Ulaya]], [[Asia]] na [[Afrika]] na wamewasilishwa katika [[Australia]]. Takriban [[spishi]] zote huishi [[mti|mitini]], lakini kuchakulo huishi ardhini. Mkia wa kindi una urefu karibu na ule wa mwili, pengine zaidi. Hula [[mbegu]], [[kokwa|makokwa]], [[tunda|matunda]], [[uyoga|nyoga]], [[tumba|matumba]] na [[chipukizi|machipukizi]]. Wakati ambapo chakula cha kimea ni adimu, kindi hula chakula cha kinyama pia, k.f. [[mdudu|wadudu]], [[yai|mayai]], [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo, makinda ya [[nyoka]] na [[mgugunaji|wagugunaji]] wadogo. Spishi kadhaa za tropiki hula wadudu kushinda chakula cha kimea.

==UainishajiMwainisho==
* Nusufamilia [[Ratufinae]] – Kindi majitu ([[jenasi]] 1, spishi 4)
* Nusufamilia [[Sciurillinae]] – Kindi kibete wa Amerika (spishi 1)
==Picha==
<gallery>
Pájara La Pared - Punta Guadalupe - Atlantoxerus getulus 03 ies.jpg|Kuchakulo wa Barbari
Red-legged sun squirrel (Heliosciurus rufobrachium).jpg|Kindi-jua miguu-myekundu
File:Paraxerus cepapi00.jpg|Kidiri kijivu
File:African giant squirrel.jpg|Kindi mkubwa
File:Xérus ou rat palmiste DSC 6258 Avril 08.JPG|Kuchakulo miraba
File:Cape Ground Squirrel Etosha National Park.jpg|Kuchakulo kusi
Damara-Ground-Squirrel-Etosha-2015.JPG|Kuchakulo-milima
File:Xerus rutilus.jpg|Kuchakulo mwekundu
</gallery>
10,628

edits