Mhanganungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza spishi
dNo edit summary
Mstari 20:
** ''[[Zaglossus bruijni|Z. bruijni]]'' <small>[[Wilhelm Peters|Peters]] & [[Giacomo Doria|Doria]], 1876</small>
}}
'''Wahanganungu''' au '''ekidna''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Tachyglossidae]] katika [[oda]] [[Monotremata]] wanaofanana na [[kalunguyeye]]. Wanatokea [[Australia]] na [[Nyugini]]. Wanyama hawa pamoja na [[kinyamadege]] ni [[mamalia]] pekee wanaobaki ambao bado wanataga [[yai|mayai]]. Lakini kinyume na wanyama wengine wanaotaga mayai, wananyonyesha [[mtoto|watoto]] wao.
 
'''Wahanganungu''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Tachyglossidae]] katika [[oda]] [[Monotremata]] wanaofanana na [[kalunguyeye]]. Wanatokea [[Australia]] na [[Nyugini]]. Wanyama hawa pamoja na [[kinyamadege]] ni [[mamalia]] pekee wanaobaki ambao bado wanataga [[yai|mayai]]. Lakini kinyume na wanyama wengine wanaotaga mayai, wananyonyesha [[mtoto|watoto]] wao.
 
==Spishi==