Biblia ya Kiebrania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Aliulinda "Biblia ya Kiebrania" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Targum.jpg|right|thumb|265px|Nakala ya Biblia ya Kiebrania ya karne ya 11 pamoja na maelezo ya [[Targum]] kando]]
 
'''Biblia ya Kiebrania''' ni namna mojawapo ya kutaja vitabu vitakatifu vya [[Uyahudi]] vinavyoitwa [[Tanakh]] na [[Wayahudi]] wenyewe. Wakristo wamezoea zaidi kuviita [[Agano la Kale]] au sehemu ya kwanza katika [[Biblia]].
 
Vitabu hivyo, vilivyoandikwa kwa [[Kiebrania]] na sehemu ndogo kwa [[Kiaramu]], vinaheshimiwa pia na Wakristo wakiamini ya kwamba ufunuo wa vitabu hivyo ulikuwa hatua ya kwanza iliyokamilishwa baadaye na hatua ya pili au "[[Agano Jipya]]" kwa ujio wa [[Yesu Kristo]].