Pauni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Pauni''', pia '''paoni'''<ref>Paon, paoni kulingana na kamusi ya Sacleux 1939, uk 732</ref> ni jina la uzani wa ratili moja au takriban gramu 500...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Pauni''', pia '''paoni'''<ref>Paon, paoni kulingana na kamusi ya [[Sacleux]] 1939, uk 732</ref> ni jina la uzani wa [[ratili]] moja au takriban [[gramu]] 500. Jina hili limetokana na Kiingereza [[:en:pound|pound]]. Wakati wa ukoloni chini ya mfumo wa vipimo rasmi vya Uingereza wakati ule "pound" ilikuwa kipimo rasmi kilicholingana na [[gramu]] 454. Pauni ilikuwa pia jina la kufupi la [[pesa]] ya Kiingereza (rasmi [[Pound Sterling]]).
 
Tangu kuenea kwa [[vipimo vya SI]] pauni ilitazamiwa kaam jina la nusu [[kilogramu]].