Biblia ya Kiebrania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Targum.jpg|right|thumb|265px|Nakala ya Biblia ya Kiebrania ya karne ya 11 pamoja na maelezo ya [[Targum]] kando]]
'''Biblia ya Kiebrania''' ni namna mojawapo ya kutaja [[vitabu]] vitakatifu vya [[Uyahudi]] vinavyoitwa na [[TanakhWayahudi]] nawenyewe "[[WayahudiTanakh]] wenyewe". WakristoNdivyo wamezoeavinavyounda zaidipia kuviitasehemu ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]] na kuitwa na [[Wakristo]] "[[Agano la Kale]]" au(vikiwa sehemupamoja ya kwanza katikana [[BibliaDeuterokanoni]] au vikiwa peke yake).
 
Vitabu hivyo, vilivyoandikwa kwa [[Kiebrania]] na sehemu ndogo kwa [[Kiaramu]], vinaheshimiwa pia na Wakristo wakiamini ya kwamba [[ufunuo]] wa vitabu hivyo ulikuwa hatua ya kwanza iliyokamilishwa baadaye na hatua ya pili au "[[Agano Jipya]]" kwa ujio wa [[Yesu Kristo]].
'''Biblia ya Kiebrania''' ni namna mojawapo ya kutaja vitabu vitakatifu vya [[Uyahudi]] vinavyoitwa [[Tanakh]] na [[Wayahudi]] wenyewe. Wakristo wamezoea zaidi kuviita [[Agano la Kale]] au sehemu ya kwanza katika [[Biblia]].
 
Kuna [[madhehebu]] na [[wataalamu]] wanaopendelea kuviita vitabu hivyo kwa jina la Biblia ya Kiebrania ili wasisitize usawa wa vitabu vilivyofunuliwa au wasionekane wanavikosea heshima vitabu ambavyo kwa Wayahudi si jambo la "kale".
Vitabu hivyo, vilivyoandikwa kwa [[Kiebrania]] na sehemu ndogo kwa [[Kiaramu]], vinaheshimiwa pia na Wakristo wakiamini ya kwamba ufunuo wa vitabu hivyo ulikuwa hatua ya kwanza iliyokamilishwa baadaye na hatua ya pili au "[[Agano Jipya]]" kwa ujio wa [[Yesu Kristo]].
 
Kuna madhehebu na wataalamu wanaopendelea kuviita vitabu hivyo kwa jina la Biblia ya Kiebrania ili wasisitize usawa wa vitabu vilivyofunuliwa au wasionekane wanavikosea heshima vitabu ambavyo kwa Wayahudi si jambo la "kale".
Hivyo kichwa cha [[Kilatini]] "Biblia Hebraica" limekuwa jina la kawaida kwa matoleo ya kitaalamu ya maandiko haya.
 
Hata hivyo majina "Agano la Kale" na "Agano Jipya" yanapatikana katika [[Biblia]] yenyewe (taz. hasa [[Eb]] 8).
 
== Tofauti kati ya Biblia ya Kiebrania na Agano la Kale ==
Wakristo wengi huwa na vitabu vingine 7 katika matoleo ya [[Agano la Kale]] nje ya [[idadi]] ya vitabu yvavya Kiebrania.
 
Wakristo wengi huwa na vitabu vingine 7 katika matoleo ya [[Agano la Kale]] nje ya idadi ya vitabu yva Kiebrania.
 
Sababu ni kwamba Wakristo wa kwanza walizoea tafsiri ya [[Kigiriki]] ya Biblia ya Kiebrania iliyokuwa kawaida kati ya Wayahudi wakati wa [[Yesu]], ambao wengi wao walikuwa wakiishi nje ya [[Israeli]].
 
[[Tafsiri]] hiyo inayojulikana kama [[Septuaginta]] imejumlisha maandiko kadhaa ambayo kuanzia miaka [[85]]-[[100]] [[BK]] Wayahudi waliamua kuyakataa katika [[ibada]] zao.
 
Lakini Wakristo waliotegemea [[lugha]] ya Kigiriki kama [[lugha ya mawasiliano]] [[lugha ya kimataifa|ya kimataifa]] waliendelea kutumia vitabu vya Septuaginta kwa jumla.
 
Hata katika hilo kuna tofauti ndogo kati ya [[Kanisa Katoliki]] ambalo limekubali vitabu [[saba]] zisizo sehemu ya orodha ya Kiebrania na [[Makanisa ya Kiorthodoksi]] ambayo pengine yamevikataa, pengine yamevikubali, pengine yanatumia vitabu vingine vichache vya nyongeza kama vile [[kitabu cha tatu cha Wamakabayo|kitabu cha 3]] na [[kitabu cha 3nne cha Wamakabayo|cha 4 cha Wamakabayo]].
 
Tofauti hizi zilitokana na nakala mbalimbali zilizopatikana kwa sababu zamani vitabu havikuchapishwa bali vilinakiliwa kwa [[mkono]] pekee.
 
Ila tu vitabu vyote vya Biblia ya Kiebrania hukubaliwa na Wakristo wa kila aina.
 
== Viungo vya Njenje ==
* [http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/ Biblia kwa lugha ya Kiswahili (Union Version 1967)]
* [http://www.biblica.com/bibles/swahili Toleo la Kiswahili la Biblica Translation 2006]