Makambako : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 9:
|subdivision_name = [[Tanzania]]
|subdivision_type1 = [[Mikoa ya Tanzania|Mkoa]]
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa IringaNjombe|IringaNjombe]]
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya NjombeMakambako Mjini|NjombeMji wa Makambako]]
|wakazi_kwa_ujumla = 51049
|latd=8 |latm=51 |latNS=S
|longd=34 |longm=50 |longEW=E
}}
[[Picha:Makambako ramani.jpg|thumb|400px|Makambako]]
'''Makambako''' ni mji na wilaya katika [[Mkoa wa Njombe]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata 8 za Makambako zilikuwa na jumla ya wakazi 93,827<ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Njombe - Makambako TC]</ref> walioishi humo.
 
Makambako ni njiapanda muhimu katika kusini ya Tanzania. Barabara za [[TANZAM]] ([[Dar es Salaam]] - [[Mbeya]]) na barabara ya kuelekea [[Songea]] - [[Mtwara]] zinakutana hapa, pamoja na kituo cha reli ya [[TAZARA]].
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Njombe]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 51,049 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/njombe.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21|archiveurl=http://web.archive.org/web/20031228054848/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/njombe.htm|archivedate=2003-12-28}}</ref>
 
Hadi mwaka 2012 Makambako penyewe ilikuwa kata ya [[Wilaya ya Njombe]] katika Mkoa wa Iringa.
 
==Marejeo==
{{Marejeo}}
 
{{Kata za Wilaya ya NjombeMakambako Mjini}}
{{Wilaya za Mkoa wa Njombe}}
 
{{Mbegu-jio-iringa}}