74,444
edits
'''Shahada ya awali''' (pia: '''Digrii ya bachelor''' <ref>[[Neno]] "bachelor" kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]] kimsingi linataja mtu [[Ndoa|asiyeoa]] bado lakini mwenye [[umri]] wa kutosha.</ref>) ni [[shahada]] ya kwanza inayotolewa kwa [[mwanafunzi]] wa [[chuo kikuu]] aliyefaulu masomo ya [[fani]] fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kutegemeana na nchi na mfumo wa [[chuo]].
Katika nchi zinazofuata mfumo wa [[Uingereza]] ni miaka mitatu, kwenye mfumo wa [[Marekani]] ni muda wa miaka minne kutokana na tofauti katika kiwango cha [[elimu ya sekondari]].
|