Ngumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Fist.jpg|200px|thumb|Ngumi tayari]][[Picha:Raised fist.jpg|200px|thumb|Ngumi ya salamu ya upinzani]]
 
'''Ngumi''' ni hali ya [[mkono]] ukifumbatwa, yaani kwa kukunja [[vidole]] pamoja na [[kiganja]].
 
Kusudi la kukunja ngumi ni mara nyingi kupiga kwa nguvu, au kujiandaa kwa kupiga. Kutokana na maana hii ngumi inakunjwa pia kama alama ya hasira au ya upinzani, kwa mfano katika salamu ya Black Power.