Shibiri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa umeelekezwa kwenda Shubiri (kipimo)
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa mmea mwenye jina la karibu angalia hapa '''[[Mshubiri]]'''</sup>
#REDIRECT [[shubiri (kipimo)]]
[[Picha:Morta shubiri vipimo.png|thumb|Shubiri]]
'''Shibiri''' (pia: '''shubiri''' kutoka [[Kiarabu]] شبر, shibr) ni [[kipimo]] cha [[urefu]] wa takriban [[cm]] 20 - 25.
 
Ni kati ya [[vipimo asilia vya Kiswahili]], ni umbali mkubwa kati ya [[kidole gumba]] na [[kidole cha mwisho]] kwenye [[mkono]] mmoja.
 
Inafanana na [[morta]], lakini ni ndefu zaidi. Shubiri ni takriban [[nusu]] [[ziraa]].
 
Shibiri si kipimo sanifu, lakini katika [[maisha]] ya kila siku inasaidia sana. [[Mtu]] akijua urefu wa shibiri yake anaweza kupima vitu vingi haraka. Kwa sababu mtu hutembea na mkono wake kila [[saa]], tofauti na [[futi]] au [[chenezo]]. Hivyo kuna ushauri wa kwamba kila mtu apime shibiri yake na kuikumbuka kwani itamsaidia kila mahali.
 
== Marejeo ==
* makala shubiri katika kamusi ya [[Velten]]
 
[[Jamii:Vipimo vya urefu]]
[[Jamii:Vipimo asilia vya Kiswahili]]