Tandala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 26:
:''[[Tragelaphus sylvaticus|T. sylvaticus]]'' <small>([[Anders Erikson Sparrman|Sparrman]], 1780)</small>
}}
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
 
'''Tandala''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[jenasi]] ''[[Tragelaphus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. Spishi nyingine huitwa '''bongo''', '''kulungu''', '''malu''', '''nyala''' au '''nzohe'''. Wanatokea [[Afrika]] katika maeneo yenye [[mti|miti]] kutoka nyika hadi msitu. Wana milia na madoa nyeupe juu ya rangi ya [[kahawa]] au kijivu. Dume ni kubwa kuliko jike na ana pembe ndefu zilizopotolewa. Jike hana pembe. Wanyama hawa hula [[jani|majani]], [[nyasi|manyasi]], [[tunda|matunda]] na [[kiazi|viazi]] vya gugu.