Kuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
Mstari 55:
 
Huchukua kwa wastani siku 21 tu mpaka mayai kuanguliwa. Mayai huanza kukomaa mara tu baada ya kuanza kutamiwa. Wakati wa kuanguliwa, kuku husaidia kuvunja mayai taratibu na kuwasaidia vifaranga kutoka.
 
Kuku kwa kawaida, hukaa kwenye kiota kwa siku mbili baada ya kuangua mayai yake. Mayai yote ambayo hayakurutubishwa na jogoo, hayataanguliwa. Kuku kisha kusubiri kwa siku kadhaa, hukiacha kiota chake. Kuku huwa mkali sana nyakati hizi, na kuwafunika vifaranga mara nyingi ili kuwapa joto. Huwaongoza kwenye chakula na maji, kuwaita kwenye chakula na mara kadhaa huwalisha moja kwa moja. Hukaa nao kwa wiki kadhaa mpaka wawe wakubwa, na pindi wanapokuwa, hupoteza hamu nao na kuanza kutaga nao.
 
g>== Ufugaji wa kuku ==
<big>Maandishi makubwa</bi
Kuku ni mnyama mwenye faida kubwa sana kwa mwanadamu na viumbe vinginevyo: kuku hutaga mayai ambayo hutumika kama chakula kwa wanadamu na viumbe vingine. Watu wengine hukosa faida za wanyama hao kwa sababu hawajui njia sahihi za ufugaji wa kuku.
g>== Ufugaji wa kuku ==
 
Zaidi ya kuku bilioni 50 huzalishwa dun
ianiZaidi ya kuku bilioni 50 huzalishwa duniani kwa ajili ya chakula, hasa kwa ajili ya nyama na mayai yao. Kwa ujumla, Ulaya hutumia mayai milioni 29 kwa siku.
 
Siku hizi watu hukuza kuku kwa kutumia [[kemikali]] za viwandani, ambazo huleta madhara kwa kuku, hivyo kufanya ukuaji wao kuwa mbovu, mayai yao kuwa mabaya, hata [[ladha]] huwa mbaya. Afadhali tuachane na njia hizo, tufuate njia za kawaida za ufugaji wa kuku tutapata faida nzuri sana na manufaa makubwa kiafya.
 
== Kuku kama Chakula ==