Kahawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|bar}} (7) using AWB (10903)
Mstari 8:
== Matumizi ya kahawa ==
[[Picha:Zubereitung mokka.jpg|thumb|300px|Kuchemsha unga wa kahawa pamoja na maji ni njia asilia]]
Wanywaji wkuuwakuu wa kahawa duniani ni watu wa [[Ufini]] wanaotumia kilogramu 11.3 kwa mwaka na kila mkazi ambayo ni sawa na vikombe 1737 kwa mwaka au vikombe 5 kwa siku kwa kila mkazi. Lakini watoto hawanywi kahawa hivyo watu wazima hunywa zaidi kuliko wastani hii.
 
Wakazi wa Marekani lkatika mwaka 1998 walitumia kahawa tani 1.148.000 inayolingana na wastani ya matumizi ya vikombe 1.8 kwa siki na kila mkazi.