Elki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho
Mstari 4:
| picha = Moose_superior.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = '''Elki''' <br><sup>(''Alces alces'')</sup>
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
| ngeli = [[Mammalia]] <small>(Wanyama wenye viwele)</small>
| nusungeli =
| oda = [[Artiodactyla]] <small>(Mamalia wanaokanyaga kwa kwato mbili-mbili)</small>
| nusuoda = [[Ruminantia]]
| familia = [[Cervidae]] <small>(Wanyama walio na mnasaba na [[Kulungu (Cervidae)|kulungu]])</small>
| nusufamilia = [[Capreolinae]] <small>(Wanyama wanaofanana na [[Capreolinae|kulungu wa Dunia Mpya]])</small>
| jenasi = '''''[[Alces''']]''
| bingwa_wa_jenasi = [[John Edward Gray|J.E. Gray]], 1821
| spishi = ''[[Alces alces|A. alces]]''
| bingwa_wa_spishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)
}}
{{Commonscat|Alces alces}}
'''Elki''' (kutoka [[Kiingereza|Kiing.]]: ''[[w:Moose|elk]]'', [[Kisayansi]]: ''Alces alces'') ni spishi kubwa inayoishi ya familia yakatika [[kulungufamilia (Cervidaebiolojia)|kulungufamilia]] [[Cervidae]]. Elki wanajulikana kwa vichwakichwa vyaochake vikubwakikubwa na mashada yao ya pembe-tawi zake zinazogawanyika kama vidole vya kiganja; spishi nyingine za familia hii huwa na mashada ya pembe-tawi zinazogawanyika katika matawi. Kwa kawaida elki huishi misituni mwa kaskazini na misitu yenye miti ya kupukutika majani yake ya [[Nusudunia ya Kaskazini]] katika hali za nchi za wastani hadi maeneo ya chini ya [[Aktiki]]. Kutokana na uwindaji, elki wana makazi madogo zaidi. Sasa elki wengi wanapatikana [[Kanada]], [[Alaska]], [[Skandinavia]] na [[Urusi]]. Wao hula mimea ya ardhini na majini. Wanyama ambao huwinda elki ni [[mbwa-mwitu]], [[dubu]] na [[binadamu]]. Tofauti na spishi zingine za kulungu, elki ni wanyama pweke na huwa hawaishi na kundi la elki wengine. Ingawa elki kwa kawaida hutembea polepole, wakasirishwapo elki waweza kuwa mkali na kusonga haraka. Wakati wa [[demani]] iliye majira yao ya kupandana, madume wa spishi hupigana na madume wengine na kumshindania jike.
 
== Etimolojia na jina ==
Jina elki limekopwa kutoka [[Kiingereza]]. Katika [[Uingereza]] mnyama huyu huitwa [[w:Moose|elk]], lakini katika [[Amerika]] huitwa [[w:Moose|moose]] na [[w:Elk|elk]] huko ni jina la [[Wapiti (mnyama)|wapiti]]. Jina la kisanayansi "alcus" siyo [[Kilatini]] lakini limekopwa kutoka [[Kiswidi]] [[:sv:Älg|älg]].
Elki mwenye jina la kisayansi ''Alces alces'' hujulikana kama ''elk'' katika [[Uingereza]] na kama ''moose'' katika [[Amerika Kaskazini]].
 
Jina la [[Kiingereza cha Kibritania]] linatoka lugha zingine za [[Kihindi-Kizungu]], kwa mfano, ''elg'' kwa [[Kideni]]/[[Kinorwe]], ''älg'' kwa [[Kiswidi]], ''Elch'' kwa [[Kijerumani]] na ''łoś'' kwa [[Kipoli]]. Hata hivyo, katika Amerika Kaskazini neno la ''elk'' "elki" hutumika ili kurejelea mnyama tofauti, [[wapiti|elki wa Kanada]] au pia huitwa [[wapiti]] (''Cervus canadensis'') ambaye ni mdogo zaidi na kisanaba tofauti na [[kulungu mwekundu]] wa Ulaya wa kati na magharibi.
 
Neno la ''moose'' kwanza liliingia Kiingereza mwaka wa 1606, na hutoka lugha za [[Kialgonkini]] ([[Kinarragansett]] ''moos'' na [[Kiabenaki cha Mashariki]] ''mos'').
 
Elki dume aliyekua hurejelewa kama [[fahali]], na elki jike ni [[dachia]], na mtoto wa elki ni [[ndama]].