Kidachi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+def |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Kidachi''' ni [[neno]] la [[Kiswahili]] cha zamani
Kidachi, Mdachi/
Tangu mwisho wa [[ukoloni]] wa Wajerumani mwaka [[1918]] na kuja kwa [[Uingereza|Waingereza]] wasemaji wa Kiswahili wamezoea zaidi kuwataja "Wadachi" kwa kutumia jina
Mara nyingi maneno yenye "-dachi" huchanganywa na neno la [[Kiingereza]] "Dutch" linalomaanisha [[Uholanzi|Waholanzi]].
Kidachi kimeathiri kwa kiasi fulani lugha ya Kiswahili cha [[Tanzania bara]] kama vile kukikopesha maneno mbalimbali, kwa mfano: [[shule]], [[hela]] n.k.
{{DEFAULTSORT:Dachi}}
[[Category:Kiswahili]]
|