Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +def; +jamii
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Map German World.png|thumb|350px|Nchi ambako lugha ya Kijerumani huzungumzwa.]]
'''Kijerumani''' (pia: '''[[Kidachi]]''', kwa Kijerumani: ''Deutsch'' au ''(die) deutsche Sprache'') ni [[lugha]] ya [[Kigermanik]] ya [[magharibi]] katika [[jamii]] ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]].
 
'''Kijerumani''' (pia: '''[[Kidachi]]''', Kijerumani: ''Deutsch'' au ''(die) deutsche Sprache'') ni lugha ya [[Kigermanik]] ya magharibi katika jamii ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]].
 
Huzungumzwa hasa katika nchi za [[Ujerumani]], [[Austria]], [[Uswisi]], [[Liechtenstein]] na [[Luxemburg]].
Line 7 ⟶ 6:
Kuna pia wasemaji asilia katika nchi jirani za Ujerumani / Austria kama [[Ubelgiji]], [[Uholanzi]], [[Ufaransa]], [[Denmark]], [[Poland]] na [[Italia]] ya kaskazini. Nchi nyingi za [[Ulaya ya Mashariki]] zilikuwa na wasemaji wa Kijerumani lakini wengi walifukuzwa au kuondoka wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]]; vikundi vimebaki hasa katika [[Hungaria]], [[Romania]], [[Uceki]], [[Urusi]] na [[Kazakhstan]].
 
Vikundi vidogo vya watu waliohamia katika [[karne ya 19|karne za 19]] na [[karne ya 20|20]] wanaoendelea kutumia Kijerumani wako katika [[Amerika ya Kaskazini]] ([[Marekani]], [[Kanada]]), [[Amerika Kusini]] ([[Brazil]], [[Chile]]) na [[Afrika]] (hasa [[Namibia]] na [[Afrika Kusini]]).
 
Kijerumani huzungumzwa na watu [[milioni]] 100 katika [[Ulaya]]. Ni lugha ya pili katika Ulaya baada ya [[Kirusi]] kushinda [[Kifaransa]] na [[Kiingereza]].
 
== Kijerumani kama lugha ya kitaifa ==
Kijerumani kinatumiwa kama [[lugha rasmi]] kitaifa katika nchi zifuatazo:
* [[Ujerumani]]
* [[Austria]]
Line 18 ⟶ 17:
* [[Uswisi]] (pamoja na [[Kifaransa]], [[Kiitalia]] na [[Kirumanji]])
* [[Luxemburg]] (pamoja na [[Kiluxemburg]] na [[Kifaransa]] )
* [[Ubelgiji]] (pamoja na Kifaransa na [[Kiholanzi]] lugha rasmi ya kitaifa, katika [[wilaya]] za [[Eupen]] na Sankt Vith ni lugha rasmi ya utawala pamoja na Kifaransa)
 
* [[Namibia]] (Kijerumani ni kati ya lugha 20 zinazotambuliwa kuwa lugha za kitaifa; ilikuwa lugha rasmi ya kitaifa pamoja [[Kiingereza]] na [[Kiafrikaans]] hadi [[1990]])
 
=== Lugha rasmi kieneo ===
Kijerumani kinatumiwa kama lugha rasmi ya utawala kieneo (ama [[Mkoa|kimkoa]] au kwenye ngazi ya [[miji]] / [[tarafa]] tu) katika nchi zifuatazo:
* [[Italia]] (katika jimbowilaya laya [[Bolzano]] laya Italia kaskazini pamoja na [[Kiitalia]])
* [[Hungaria]] (lugha rasmi kieneo mjini [[Ödenburg]] / [[Sopron]] baada ya [[Kihungaria]])
* [[Rumania]] (lugha rasmi kieneo pamoja na [[Kiromania]])
* [[Urusi]] (lugha ya utawala kieneo kwenye [[wilaya yenye tabia ya kitaifa|wilaya za tabia ya kitaifa]] [[Asowo]] na [[Halbstadt]] katika [[Siberia]] ya magharibi)
 
=== Umoja wa Ulaya ===
Kijerumani ni kati ya lugha rasmi za [[Umoja wa Ulaya]] pamoja na [[Kiingereza]] na Kifaransa. Kati ya lugha ndani ya Umoja ni lugha yenye wasemaji wengi kushinda yote nyingine zote.
 
== Maneno machache ==
Line 72 ⟶ 70:
|-
|}
 
== Lugha inayofundishwa ==
Kijerumani kama [[lugha ya kigeni]] kinafundishwa [[Shule|shuleni]] au kwenye taasisi za [[elimu ya watu wazima]] katika nchi nyingi. Mwaka [[2004]] idadi ya wanafunzi wa Kijerumani ilkuwailikuwa kama ifuatayo:
* [[Urusi]]: 4.657.500 (3,26[[%]])
* [[Poland]]: 2.202.708 (5,70 %)
* [[Ufaransa]]: 1.603.813 (2,52 %)
* [[UcekiUcheki]]: 799.071 (7,80 %)
* [[Ukraine]]: 629.742
* [[Hungaria]]: 629.472
Line 86 ⟶ 83:
* [[Marekani]]: 551.274
 
Kijerumani ni lugha ya pili katika [[mtandao]] (intaneti) baada ya Kiingereza. Takriban [[nusu]] ya kurasa zote mtandaoni ni za Kiingereza, lakini Kijerumani kinafuata kikiwa na 8% za kurasa zote.
 
== Viungo vya nje ==
Line 100 ⟶ 97:
[[Jamii:Lugha za Ujerumani]]
[[Jamii:Lugha za Uswisi]]
[[Jamii:Lugha za Austria]]
[[Jamii:Lugha za Luxemburg]]
[[Jamii:Lugha za Ubelgiji]]
[[Jamii:Lugha za Liechtenstein]]
[[Jamii:Lugha za Namibia]]