Kibelarus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+viungo vya nje
No edit summary
Mstari 1:
'''Kibelarus''' ('''Беларуская мова''', "biełaruskaja mova" - lugha ya Kibelarus) ni [[lugha]] ya watu wa [[Belarus]] ikiwa ni moja kati ya lugha [[tatu]] za [[Kislavoni cha Mashariki]] pamoja na [[Kiukraine]] na [[Kirusi]]. Kibelarus inashirikiana maneno ya lugha hizi, pia imepokea sehemu ya [[msamiati]] wake kutoka [[Kipoland]] kutokana na [[historia]] ndefu ya pamoja kati ya [[Poland]] na Belarus. [[Lugha za Kislavoni]] ni sehemu ya [[jamii]] ya [[Lugha za Kihindi-Kiulaya]].
 
Kibelarus huandikwa mara nyingi kwa [[mwandiko]] wa [[Kikyrili]] lakini kuna pia namna ya kuiandika kwa [[mwandiko wa Kilatini]].
 
[[Idadi]] ya wasemaji ni kati ya [[milioni]] 7 au 8. Kibelarus ni [[lugha rasmi]] katika nchi ya Belarus. Kuna pia wasemaji nchini Poland katika eneo la [[Białystok]]) halafu kati ya vikundi vya [[wahamiaji]] waliotoka BelorusBelarus na kukaa [[Marekani]], [[Kanada]] auna [[Australia]].
 
== Fasihi ==
Mstari 19:
[[Jamii:Lugha za Kislavoni]]
[[Jamii:Lugha za Ulaya]]
[[Jamii:Lugha za Belarus]]