Heli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Matumizi: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|de}} (5) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 18:
}}
 
'''Heli''' (pia heliamu, ing. helium; kut. kigiriki ἥλιος ''hélios'' "jua") ni [[elementi]] ya kikemia yenye [[namba atomia]] 2 na [[uzani wa atomi]] 4.002602. Alama yake ni '''He'''. Ni [[atomi]] nyepesi ya pili kati ya elementi zote hivyo ina nafasi ya pili katika [[mfumo radidia]] wa elementi. Huhesabiwa kati ya [[gesi adimu]]. Heli iko katika hali ya gesi hata kama halijoto au baridi ni kali ikiganda karibu na [[sifuri halisi]] tu; ni elementi ya pekee isiyoganda kabisa hata kwenye sifuri alisihalisi kama shindikizo ni la kawaida.
 
Heli inapatikana kwa wingini ni element inayopatikana kwa wingi kabisa ulimwenguni kwa jumla baada ya [[hidrojeni]]. Ndanilakini yahapa [[jua]]duniani letupetu hidrojenini huchomwahaba. kinyuklia kuwa heli.
 
== Muundo wa atomi ==
'''Heli''' (kut. kigiriki ἥλιος ''hélios'' "jua") ni [[elementi]] ya kikemia yenye [[namba atomia]] 2 na [[uzani wa atomi]] 4.002602. Alama yake ni '''He'''. Ni [[atomi]] nyepesi ya pili kati ya elementi zote hivyo ina nafasi ya pili katika [[mfumo radidia]] wa elementi. Huhesabiwa kati ya [[gesi adimu]]. Heli iko katika hali ya gesi hata kama halijoto au baridi ni kali ikiganda karibu na [[sifuri halisi]] tu; ni elementi ya pekee isiyoganda kabisa hata kwenye sifuri alisi kama shindikizo ni la kawaida.
Atomi za He hutokea kamamara isotopi ya He-4nyingi yenye [[kiini cha atomi|kiini]] cha [[protoni]] mbili na [[nyutroni]] mbili inayozungukwakinachozungukwa na [[elektroni]] mbili katika ganda moja lilele. Hali hii ya kawaida huitwa [[isotopi]] ya <sup>4</sup>He .
 
Heli haliathiri au kuathiriwa kirahisi hivyo gesi yake haina herufu au ladha. Hupatikana kwa umbo la atomi tu maana haiingii katika molekyuli.
Heli inapatikana kwa wingi ni element inayopatikana kwa wingi kabisa ulimwenguni baada ya [[hidrojeni]]. Ndani ya [[jua]] letu hidrojeni huchomwa kinyuklia kuwa heli.
 
==Upatikanaji==
Ulimwenguni kote heli ni elementi inayopatikana kwa wingi, Kutokana na nadharia ya mlipuko mkuu unakadiriwa kuwa na asilimia 25 ya masi yote ya ulimwengu.
 
Ndani ya [[jua]] letu heli inatengenezwa kwa wingi ilhali hidrojeni huchomwa kinyuklia kuwa heli na machakato huu unatokea katika nyota nyingi.
 
Katika angahewa ya dunia yetu heli ina kiwango cha asilimia 0.00052 % au 5.2 [[ppm]]. Heli inapotea muda wote kueleka angani kutokana na uzito mdogo wake.
 
Hutokea tena katika miamba ya [[ganda la dunia]] katika [[mbunguo nururifu]] wa [[urani]] katika ardhi. Heli inayotokea hapa inapanda juu polepole na kuingia katika angahewa. Pale ambako kuna maganda ya mwamba usiopitika na gesi heli inakusanyika, kwa kawaida pamoja na [[gesi asilia]] nyingine.
 
Hivyo heli inatolewa pale inapopatikana ndani ya gesi ya asilia wakati wa kutoa gesi hii. Kiwango cha heli ndani ya gesi asilia ni kuanzia [[ppm]] chahce hadi kufikia asilimia 7-10.
 
== Muundo wa atomi ==
Atomi za He hutokea kama isotopi ya He-4 yenye [[kiini cha atomi|kiini]] cha [[protoni]] mbili na [[nyutroni]] mbili inayozungukwa na [[elektroni]] mbili katika ganda moja lilele.
 
Heli haliathiri au kuathiriwa kirahisi hivyo gesi yake haina herufu au ladha.
 
== Matumizi ==