Gerald Edelman : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Gerald Maurice Edelman''' (amezaliwa 1 Julai, 1929) ni daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kingamwili mbalimbali. Mwaka...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 07:49, 21 Desemba 2007

Gerald Maurice Edelman (amezaliwa 1 Julai, 1929) ni daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kingamwili mbalimbali. Mwaka wa 1972, pamoja na Rodney Porter alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.