Ukahaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing 0405.Annabell_002.jpg with File:A_German_prostitute's_self-portrait_in_a_brothel.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: #3).
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:A German prostitute's self-portrait in a brothel.jpg|thumb|right|350px|[[Picha]] ya mfano wa kahaba akiwa kazinikatika [[danguro]] huko [[Ujerumani]].]]
'''Ukahaba''' (kutoka [[ar.Kiarabu]] '''قحبه ''' ''qahabatun'' = malaya) ni tendo la kufanya [[ngono]] nje ya [[ndoa]] au uhusiano unaokubalika katika [[jamii]], tena na watu mbalimbali na kwa [[malipo]]. Watendaji wanaopokea malipo huitwa kahaba au malaya; washiriki wanaotoa malipo huitwa wateja. Kama ukahaba unaendeshwa katika [[nyumba]] maalumu mahali hapo panaitwa [[danguro]].
 
'''Ukahaba''' (kutoka [[ar.]] '''قحبه ''' ''qahabatun'' = malaya) ni tendo la kufanya [[ngono]] nje ya ndoa au uhusiano unaokubalika katika jamii, tena na watu mbalimbali na kwa malipo. Watendaji wanaopokea malipo huitwa kahaba au malaya; washiriki wanaotoa malipo huitwa wateja. Kama ukahaba unaendeshwa katika nyumba maalumu mahali panaitwa [[danguro]].
 
== Jinsi na namna ya ukahaba ==
Kimsingi kuna aina [[mbili]] za ukahaba.
# Malaya anajifanyia [[kazi]] na kuamua mwenyewe namna gani. Huyu atapatikana mara nyingi akitembea [[Barabara|barabarani]], kusubiri kwenye [[baa|mabaa]] au kwa kutangaza [[namba]] ya [[simu]]. Wanajitangaza pia kupitia [[intaneti]] na kukutana na wateja mahali mbalimbali.
# Malaya wanafanya kazi chini ya usimamizi wa mtu mwingine au watu wengine. Hali yao inaweza kufanana na aina ya [[ajira]] wakilipwa kwa kila tendo la ngono kutoka msimamizi anayepokea [[fedha]]; au wanatakiwa kutoa malipo kwake kutokana na mapato yao. Kundi hili lapatikana mara nyingi katika danguro, lakini wako pia barabarani katika maeneo maalumu wanapotazamiwa na [[kuwadi]]. Katika kundi hili kuna hasa aina ya [[utumwa]] wa kingono ambako mabinti na [[wanawake]] wanalazimishwa kujiuza kwa wateja.
Kundi hili lapatikana mara nyingi katika danguro lakini wako pia barabarani katika maeneo maalumu wanapotazamiwa na [[kuwadi]]. Katika kundi hili kuna hasa aina ya utumwa wa kingono ambako mabinti na wanawake wanalazimishwa kujiuza kwa wateja.
 
[[picha:Prostitution laws of the world.PNG|thumb|right|350px|Sheria kuhusu ukahaba duniani
{{Legend|#008000|Ukahaba unaruhusiwa, kuna utaratibu wa kisheria}}
{{Legend|#000080|Ukahaba unaruhusiwa, danguro ni marufukomarufuku, hakuna utaratibu wa kisheria}}
{{Legend|#FF0000|Ukahaba ni marufuku}}
{{Legend|#ababab|hakuna habari juu ya nchi hizi}}</small>]]
== Hali ya kisheria ==
Misimamo ya jamii na [[sheria]] inatofautiana kati ya nchi na nchi. Hata kama ukahaba unapatikana kote [[duniani]], umepigwa marufuku katika nchi nyingi. Lakini mahali pengi penye sheria dhidi ya ukahaba [[polisi]] inafungainafumba [[macho]] au kutofuatilia [[biashara]] hii.
 
Kati ya misimamo kuhusu ukahaba iko ifuatayo:
* Ukahaba hutazamiwahutazamwa kama [[jinai]]. Watendaji wanatishiwa kwa [[adhabu]] za kisheria kuanzia [[faini]], [[jela]] hadi [[adhabu ya mauti]] (kama [[Saudia]]). Mara nyingi ni hasa makahaba wanaolengwa kwa adhabu hizi, lakini mahali pengine pia wateja. Hata hivyo katika nchi nyingi penyezenye sheria dhidi ya ukahaba polisi inafungainafumba macho au kutofuatilia biashara hii.
* Ukahaba hutazamiwakamahutazamwa kama ubaya unaovunja [[heshima]] hasa ya wanawake, yaani malaya. Malaya huangaliwa kama waathirika wanaostahili kusaidiwa, kwa hiyo hawana adhabu. Lakini wote wengine wanaofaidika na ukahaba wanalengwa kwa adhabu: wenye danguro, makuwadi, washiriki katika biashara ya makahaba hadi wateja wenyewe katika nchi kadhaa (mfano: [[Uswidi]])
* Ukahaba hutazamiwahutazamwa kama ubaya usioshindikana, kwa hiyo [[serikali]] imetunga sheria na taratibu kwa lengo la kupakanakupanga upatikanaji wa ukahaba. Danguro zinapaswa kuandikishwa serikalini, zinatembelewa na [[idara ya afya]] ya [[umma]]; malaya wanaruhusiwa katika [[mtaa|mitaa]] maalumu ya [[miji]] pekee, wanapaswa kuangaliwakupimwa na kupatiwa [[matibabu]] mara kwa mara. [[Kijiji|Vijiji]] na miji midogo zinawezavinaweza kuzuia ukahaba katika maeneo yao.
* Ukahaba hautazamiwihautazamwi tena kama jinai wala kosa bali kama chaguo la watu wazima. Kwa hiyo ukahaba huangaliwa kama namna ya biashara kama biashara nyingine; malaya huitwa "wafanyakazi wa ngono", wanatakiwa kulipa [[kodi]] na wanalindwa na [[sheria za kazi]] (mifano [[Uholanzi]] na [[Ujerumani]]).
* Utaratibu maalumu uko katika [[Uajemi]] ambako kuna "[[mutaa]]" au [[ndoa ya muda]] kulingana na mafundisho ya [[Washia|Kishia]]. Chini ya utaratibu wa mutaa kuna uhusiano uaolinganaunaolingana na ndoa au pia [[urafiki]] katika nchi nyingine; lakini mutaa inaruhusu pia mikataba kwaya [[muda]] mfupi na inadai mapatano juu ya malipo upande wa mwanaume[[mwanamume]]. Kwa hiyo inapatikana pia kama njia ya ukahaba ambao menginevyovinginevyo ni arufukumarufuku nchini Uajemi.
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
 
 
{{Wiktionary|ukahaba}}
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:UkahabaJinsia]]
[[Jamii:Sheria]]
[[Jamii:Uchumi]]