Ukahaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Kimsingi kuna aina [[mbili]] za ukahaba.
# Malaya anajifanyia [[kazi]] na kuamua mwenyewe namna gani. Huyu atapatikana mara nyingi akitembea [[Barabara|barabarani]], kusubiri kwenye [[baa|mabaa]] au kwa kutangaza [[namba]] ya [[simu]]. Wanajitangaza pia kupitia [[intaneti]] na kukutana na wateja mahali mbalimbali.
# Malaya wanafanya kazi chini ya usimamizi wa mtu mwingine au watu wengine. Hali yao inaweza kufanana na aina ya [[ajira]] wakilipwa kwa kila tendo la ngono kutoka msimamizi anayepokea [[fedha]]; au wanatakiwa kutoa malipo kwake kutokana na mapato yao. Kundi hili lapatikana mara nyingi katika danguro, lakini wako pia barabarani katika maeneo maalumu wanapotazamiwa na [[kuwadi]]. Katika kundi hili kuna hasa aina ya [[utumwa]] wa kingono ambako mabinti na [[wanawake]] wanalazimishwa kujiuza kwa wateja. Mwaka [[2009]] [[Umoja wa Mataifa]] ulikadiria kwamba 79[[%]] za watu wanaouzwa ni kwa ajili ya biashara ya ukahaba ambayo imekuwa hivyo [[biashara ya watumwa]] kubwa kuliko zote za [[historia]] ya [[binadamu]]. Kila mwaka watu 800,000 hivi wanavushwa mipaka ya nchi zao kwa ajili hiyo, wakiwemo hasa [[wanawake]], wale wenye [[umri]] chini ya miaka 18 wakiwa hadi 50%.
 
== Hali ya kisheria ==
[[picha:Prostitution laws of the world.PNG|thumb|right|350px|Sheria kuhusu ukahaba duniani
{{Legend|#008000|Ukahaba unaruhusiwa, kuna utaratibu wa kisheria}}
Line 12 ⟶ 13:
{{Legend|#FF0000|Ukahaba ni marufuku}}
{{Legend|#ababab|hakuna habari juu ya nchi hizi}}</small>]]
== Hali ya kisheria ==
Misimamo ya jamii na [[sheria]] inatofautiana kati ya nchi na nchi. Hata kama ukahaba unapatikana kote [[duniani]], umepigwa marufuku katika nchi nyingi. Lakini mahali pengi penye sheria dhidi ya ukahaba [[polisi]] inafumba [[macho]] au kutofuatilia [[biashara]] hii.
 
Mstari 21:
* Ukahaba hautazamwi tena kama jinai wala kosa bali kama chaguo la watu wazima. Kwa hiyo ukahaba huangaliwa kama namna ya biashara kama biashara nyingine; malaya huitwa "wafanyakazi wa ngono", wanatakiwa kulipa [[kodi]] na wanalindwa na [[sheria za kazi]] (mifano [[Uholanzi]] na [[Ujerumani]]).
* Utaratibu maalumu uko katika [[Uajemi]] ambako kuna "[[mutaa]]" au [[ndoa ya muda]] kulingana na mafundisho ya [[Washia|Kishia]]. Chini ya utaratibu wa mutaa kuna uhusiano unaolingana na ndoa au pia [[urafiki]] katika nchi nyingine; lakini mutaa inaruhusu pia mikataba ya [[muda]] mfupi na inadai mapatano juu ya malipo upande wa [[mwanamume]]. Kwa hiyo inapatikana pia kama njia ya ukahaba ambao vinginevyo ni marufuku nchini Uajemi.
 
==Afya ya jamii==
Si siri kwamba ukahaba unachangia sana uenezi wa [[maradhi ya zinaa]], ukiwemo [[UKIMWI]].
 
==Tanbihi==
Line 30 ⟶ 33:
[[Jamii:Sheria]]
[[Jamii:Uchumi]]
[[Jamii:Utumwa]]
[[Jamii:Maradhi ya zinaa]]