Tarehe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tarehe''' (kutoka ar. تاریخ ''tarih'' kwa maana ya "historia") ni namna ya kutaja nafasi ya siku fulani ndani ya mfumo wa kalenda. Kwa kawaida...'
 
Mstari 22:
 
==Tarehe mbalimbali kandokando==
Katika nchi ambako kalenda za kitaifa zinatumika zilizo tofauti na Kalenda ya Gregori ni kawaida kuonyesha kalenda kandokando. Kwa mfano nchini [[Iran]] mwaka unaanza kwa tarehe 1 mwezi wa Farwardin ambayo kwa kawaida ni sawa na 21 Aprili. Hivyo tarehe ya Kiirani 23 Farwardin 1396 ni sawa na tarehe 11 Aprili 2017. Ilhali nchini Iran hesabu ya kalenda ya kiislamu ni muhimu kwa sikukuu za kidini kalenda za huko huonyesha pia tarehe ya tatu yaani 14 Rajabu 1438<ref>[http://www.taghvim.com Linganisha hapa tovuti ya kalenda ya Iran]</ref>.
 
Kwa jumla nchi kadhaa za Kiislamu hutumia kalenda ya Kiislamu kandokando na kalenda ya kimataifa ya Gregori.
 
Hii inafanana na nchi ya Israeli ambako tarehe za kalnda ya Kiyahudi zinaonyehswa mara nyingi pamoja na tarehe za kalenda ya Gregori.
 
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==
*[[IETF]]: RFC 3339
*[http://www.hermetic.ch/cal_stud/formats.htm The ISO 8601 Date Format]<!-- Retrieved 23 September 2006 -->
*{{cite web|url=http://www-01.ibm.com/software/globalization/locales/index.jsp |title=Globalization locale database |accessdate=2008-10-13 |publisher=IBM |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090426205632/http://www-01.ibm.com/software/globalization/locales/index.jsp |archivedate=April 26, 2009 }}
*{{cite web| url=http://www.microsoft.com/globaldev/nlsweb/default.mspx | title=NLS (National Language Support) information page | publisher=Microsoft | accessdate=2008-10-13 | archiveurl = https://web.archive.org/web/20080315070046/http://www.microsoft.com/globaldev/nlsweb/default.mspx| archivedate = March 15, 2008}}
* RFC 2550 : Y10K and Beyond
*[http://www.curiousnotions.com/todays-date.asp Today's date (Gregorian) in over 400 languages]
 
{{DEFAULTSORT:Calendar Date}}
 
 
[[Jamii:Kalenda]]