Fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 67:
#'''Utendaji''' wa fasihi simulizi hushirikisha utendaji wa fanani na hadhira moja kwa moja (ana-kwa-ana)
#'''Fanani''' kuwepo kwa fanani ambaye husimulia, huimba, hupiga makofi na hata kubadilisha miondoko na mitindo ya usimuliaji.
#'''Hadhira''' kuwepo kwa hadhira ambayeambayo hushiriki kwa kuuliza maswali, kupiga makofi, kushangilia, kuimba na kadhalika - kutegemeana na jinsi ambavyo fanani atawashirikisha.
#Fasihi simulizi '''huendana na wakati na mazingira'''; baadhi ya tanzu au vipera vya fasihi simulizi vinaweza kuwa vimepitwa na wakati, lakini bado vinaweza kubadilishwa na vikasadifu wakati mahususi.
#Fasihi simulizi '''ni mali ya jamii nzima''', humilikiwa na kila mtu katika jamii. Sifa hii ndiyo huipa uwezo wa kurithishwa toka [[kizazi]] kimoja kwenda kingine.