Tarehe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
 
==Tarehe za siku - mwezi - mwaka==
Kalenda nyingiTarehe hutaja mara nyingi sifa [[tatu]] za tarehesiku fulani:
* nafasi ya siku ndani ya [[Mwezi (wakati)|mwezi]] fulani (kama siku ya kwanza, pili, tatu... ),
* halafu mwezi ndani ya [[mwaka]] (mwezi wa kwanza, wa pili au kwa kutumia [[jina]] kama [[Januari]] katika [[kalenda ya Gregori]] au [[Ramadhani]] katika [[kalenda ya kiislamu]]),
* halafu namba ya mwaka (kama [[2017]] [[baada ya Kristo]], au 1430 baada ya [[Hijra]])
 
Mfano: [[Sikukuu]] ya kwanza ya [[Jamhuri]] nchini [[Kenya]] ilitokea tarehe [[12 Desemba]] [[1963]].
 
==Tarehe za siku ya wiki==