Tofauti kati ya marekesbisho "Periplus ya Bahari ya Eritrea"

no edit summary
 
Kitabu cha Periplus kinaeleza ma[[bandari]] kuanzia [[Misri]] hadi [[Afrika ya Mashariki]] kwa upande moja na hadi [[Bara Hindi]] kwa upande mwingine. Kinataja majina ya mabandari, [[bidhaa]] zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala na [[mila]] zao.
 
Maelezo ni mengi kuhusu [[pwani]] ya [[Eritrea]] na [[Somalia]] hadi [[Pembe la Afrika]]; kuelekea [[kusini]] majina ya mabandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa [[Rhapta]] katika nchi za [[Azania]], lakini hadi leo wataalamu hawakuelewana hii Rhapta na Azania ilikuwa wapi.
 
[[Category:Bahari ya Hindi]]