Historia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
umbo
No edit summary
Mstari 1:
[[File:ancientlibraryalex.jpg|thumb|right|220px|[[Maktaba]] ya [[Aleksandria]], [[Misri ya kale]].]]
'''Historia''' (kutoka Kigiriki ''ιστορια'', historia; pia "tarehe" kutoka [[Kiarabu]] تاریخ ''tarih'' kwa maana ya "historia": pia tena "mapisi") ni somo kuhusu [[maisha]] ya [[binadamu]] na [[utamaduni]] wao [[wakati]] uliopita.
 
Mara nyingi neno hilo lina pia maana ya maarifa yoyote kuhusu wakati uliopita, yawe au yasiwe maarifa ya watu (kwa mfano "historia ya ulimwengu").
Mstari 6:
Historia ni hasa mfululizo wa habari za mambo yaliyotokea pamoja na sababu zake.
 
Binadamu anaziandika ili kuelewa [[maisha]] yake, yaani ametokea wapi, amepata mafanikio gani na matatizo gani.
 
Historia inatufundisha kuishi: kumbukumbu za mambo ya zamani ([[vita]], [[uhuru]], viongozi na mengineyo) zinatuwezesha kuendelea vizuri zaidi.