Mtende (mti) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
 
Mti unaojulikana sana ni [[mtende wa kawaida]] na mti huu hupandwa sana katika [[oasisi]] za [[jangwa|majangwa]] ya [[Afrika]] na [[Asia]] na pembezoni kwa majangwa haya.
 
Mitende ni maarufu katika [[utamaduni]] wa [[Waisraeli]] na [[Waarabu]]. [[Injili ya Yohane]] inataja [[tawi|matawi]] ya miti hiyo kwamba yalitumika kumshangilia [[Yesu]] alipoingia [[Yerusalemu]] kwa mara ya mwisho. Ndiyo sababu hadi leo matawi hayo yanatafutwa sana na [[Wakristo]] kwa maandamano ya [[Jumapili ya matawi]], [[wiki]] moja kabla ya [[Pasaka]].
 
Spishi nyingine humea katika [[kinamasi|vinamasi]] na [[msitu|misitu]] ya [[mkoko|mikoko]].