Wikipedia:Ukurasa wangu na kurasa za kamusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ukurasa wa mtumiaji''' ni ukurasa wako.we '''Hapo uko huru kuandika juu yako mwenye''' unachotaka. '''Kanuni ni tofauti katika kurasa za kawaida''' yaani '...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Ukurasa wa mtumiaji''' ni ukurasa wako.we '''Hapo uko huru kuandika juu yako mwenye''' unachotaka.
 
'''Kanuni ni tofauti katika kurasa za kawaida''' yaani '''kurasa za kamusi''' (ing.: Article space). '''Hapa ni marufuku kuandika juu yako mwenyewe'''. Kuna ruhusa moja tu: kama wewe uliandika kitabu au kutoa wimbo unaweza kuingiza habari hii kama marejeo katika makala iliyopo tayari. Lakini usianzishe wewe mwenyewe!