Wikipedia:Ukurasa wangu na kurasa za kamusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Kanuni ni tofauti katika kurasa za kawaida''' yaani '''kurasa za kamusi''' (ing.: Article space). '''Hapa ni marufuku kuandika juu yako mwenyewe'''. Kuna ruhusa moja tu: kama wewe uliandika kitabu au kutoa wimbo unaweza kuingiza habari hii kama marejeo katika makala iliyopo tayari. Lakini usianzishe wewe mwenyewe!
 
Maana hapa tuko kwenye kamusi elezo, si facebook au mtandao wa kijamii. Sisi wachangiaji tunawasiliana kati yetu kwa kutumia kurasa za majadiliano na ukurawaukurasa wa jamii, pia kwa barua pepe.
 
Afadhali ulizia maswali yako kwanza kwa [[Wikipedia:Wakabidhi#Wakabidhi_.28Administrators.29|Wakabidhi]], tuko tayari kukusaidia!