Wikipedia:Mwongozo (Kumbuka) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 3 langlinks, now provided by Wikidata on d:q10787568
No edit summary
Mstari 24:
 
*Si mahali pa '''kujitangaza mwenyewe'''. Kama wewe ni mwandishi, mwimbaji au msanii bora haifai ukieleza ubora wako mwenyewe. Subiri tu kidogo hadi wengine wanakujua na kuimba sifa zako!
** Usianzishe makala juu yako mwenyewe katika sehemu ya kamusi! Unaweza kutumia nafasi ya ukurasa wako wa mtumiaji. Hapa uko huru kuleta habari juu yako. Nje ya hapo ni marufuku! (soma zaidi hapo: [[Wikipedia:Ukurasa wangu na kurasa za kamusi]])
** Usitaje jina lako katika makala kama mwandishi.