Ugonjwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Italienischer Maler des 17. Jahrhunderts 001.jpg|300px|thumbnail|[[Unene]] wa kipindukia ulitazamwa kama [[dalili]] ya [[cheo]] katika [[jamii]] nyingi, lakini leo hii hutazamwa kama ugonjwa.]]
'''Ugonjwa''' (pia ''maradhi'') ni hali ya mvurugo katika [[utendaji]] wa kawaida wa [[shughuli]] za [[mwili]] na [[roho]] inayoathiri vibaya [[starehe]] ya [[kiumbehai]]. Hakuna tofauti kamili baina ya ugonjwa na hali ya kujisikia vibaya.
 
[[Sayansi]] inachochunguliainayochungulia magonjwa ni [[tiba]].
 
Siku hizi magonjwa hupangwa kufuatana na sababu zao kama vile
 
*[[magonjwa ya kuambukizwa]]
*[[magonjwa ya kurithiwa]]
*magonjwa kutokana na [[ajali]]
*magonjwa kutokana na [[dutu]] za nje ya mwili ([[sumu]], [[asidi ]]) au [[moto]]
*magonjwa ya [[kansa]]
*magonjwa yaliyosababishwa na tiba
*magonjwa yaliyosababishwa na [[mfumo wa kingakingamaradhi]] uliomo mwilini
*magonjwa ya roho
 
{{mbegu-tiba}}
 
[[jamii:afya]]