Usiku wa Pasaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|right|[[Wabenedikto Wamarekani waliokusanyika kando ya moto wa Pasaka ili kuwasha mshumaa wa Pasaka...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:BenedictineEasterVigil.jpg|thumb|250px|right|[[Wabenedikto]] wa [[WamarekaniMarekani]] waliokusanyika kando ya [[moto wa Pasaka]] ili kuwasha [[mshumaa wa Pasaka]] wakati wa [[kesha]] la Pasaka.]]
[[File:Praecentor.JPG|thumb|rightleft|[[Shemasi]] [[Walutheri|Mlutheri]] akibeba mshumaa wa Pasaka.]]
{{kigezo:Mwaka wa liturujia}}
'''Usiku wa Pasaka''' ni [[kesha]] kuu la [[mwaka wa Kanisa]] ambapo [[Wakristo]] wanashangilia [[ufufuko wa Yesu]] katika [[giza]] la kati ya [[Jumamosi kuu]] na [[Jumapili]] ya [[Pasaka]]: ndipo [[Injili]] zote zinaposimulia kwamba [[Yesu Kristo]] aliweza [[Ufufuko|kufufuka]] baada ya [[Msalaba wa Yesu|kusulubiwa]] na [[Mazishi|kuzikwa]] siku ya [[Ijumaa kuu]].
 
Ki[[historia]], ndioNdio wakati mwafaka wa [[ubatizo|kubatiza]] hasa watu wazima, kwa sababu [[sakramenti]] hiyo, pamoja na [[kipaimara]] na [[ekaristi]], inashirikisha [[kifo cha Yesu|kifo]] na ufufuko wa Yesu.
 
Hata hivyo, [[madhehebu]] yanatofautiana katika [[liturujia]] hata ya [[sikukuu]] hiyo.
 
==Asili==
Ki[[historia]], usiku wa [[Pasaka ya Kiyahudi|Pasaka]] uliadhimishwa na [[Waisraeli]] wa kale hasa namna iliyoratibiwa na [[Torati]], ambamo jambo muhimu zaidi ni kula [[nyama]] ya [[kondoo|mwanakondoo]] aliyechinjwa kama [[kafara]]. Tangu wakati wa [[Musa]] [[mlo]] huo umekuwa [[ukumbusho]] wa [[Kutoka (Biblia)|kutoka]] kwao katika [[unyanyasaji]] au [[utumwa]] nchini [[Misri]].
 
Yesu alikamilisha hata [[ibada]] hiyo kwa kujifanya [[Mwanakondoo wa Mungu]] kama alivyotambulishwa na [[Yohane Mbatizaji]] katika [[mto Yordani]].
 
Kwa kujitoa kufa kwa ajili ya [[uzima]] wa [[ulimwengu]] na ondoleo la [[dhambi]] alivuka kutoka [[dunia]] hii kurudi kwa [[Mungu Baba|Baba]] na kuwezesha wote kuacha utumwa wa [[shetani]], dhambi na [[kifo]].
 
==Tanbihi==
Line 14 ⟶ 22:
*[http://www.liturgies.net/Lent/EasterVigil.htm An Easter Vigil service]
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Sikukuu za Uyahudi]]
[[Jamii:Sikukuu za Ukristo]]
[[Jamii:Liturujia]]