Eurasia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
-Double
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:LocationEurasia.png|right|200px300px|thumbnail|Eneo la Eurasia]]
[[Picha:Possible definitions of the boundary between Europe and Asia.png|300px|thumbnail|NjiaNamna mbalimbali za kuchora mpaka kati ya Ulaya na Asia.]]
'''Eurasia''' ni [[jina]] lalinalotumika kutaja kwa pamoja nchi zote za [[Asia]] na [[Ulaya]] kwa pamoja. Jina hilo linaunganisha maneno "Europa" na "Asia".
 
Hali halisi [[Bara|mabara]] ya Ulaya na Asia yako pamoja kama nchi kavu mfululizo na hakuna [[bahari]] inayoyatenganisha. Kwa hiyo Ulaya na Asia haziitwi mabara kwa sababu za [[Jiografia|kijiografia]] bali kwa sababu za [[Historia|kihistoria]] na za [[utamaduni|kiutamaduni]] tu.
Mstari 14:
 
[[Category:Bara]]
[[Jamii:Ulaya]]
[[Jamii:Asia]]